Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
Nikiwa napekua pekua my old docs nimekutana na gazeti la Tabasamu. Japo limechoka saaana nimejikuta nalisoma lote na hasa hadithi-picha ya Bodigadi.
Please, aliye na namna ya kunisaidia kupata nakala hizo popote tujuzane. Japo napenda movies, hili gazeti limenikosha sana! Oooh! Old is gold!
Je, wewe unaipenda hadithi ipi ya mapicha ya enzi zetu miaka ya 80-90s?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums