Mr Computer
Member
- Jan 20, 2021
- 9
- 4
Mtafute mwalimu wakoHabari zenu wadau
Kuna game la kivita nalitafuta lakini kibaya nikwamba silijui jina ila naamini humu kuna watu watalijua tu.
Liko hivi
shooter yuko kwenye helcopter juu(haitembei) chini kuna wanajeshi wanakuja na magari na vifaru kisha ww ndo una shoot,pia kuna mission zingine ni usiku na zingine za kushoot ndege
Game hilo nililiona mwaka 2012 kwenye PC ya mwalimu wangu hivyo hata sikumbuki jina lake.
Natanguliza shukran.
Mkuu kama hulijui piga kimyaLinaitwa mtu juu ya helkopta maadui chini
Mtafute mwalimu wak
Hatuna mawasiliano kwa sasaMtafute mwalimu wako
Taratibu mzee 😁😁😁Linaitwa mtu juu ya helkopta maadui chini
sio,Sio project IGI
Au desert stormsio,
Nakumbuka lilikua na maneno kama air commando,air combat,modern air ,
Modern combatsio,
Nakumbuka lilikua na maneno kama air commando,air combat,modern air ,
Kama bado haujapata unaweza google maelezo yako google itakupa possibilities na utaipataHabari zenu wadau
Kuna game la kivita nalitafuta lakini kibaya nikwamba silijui jina ila naamini humu kuna watu watalijua tu.
Liko hivi
shooter yuko kwenye helcopter juu(haitembei) chini kuna wanajeshi wanakuja na magari na vifaru kisha ww ndo una shoot,pia kuna mission zingine ni usiku na zingine za kushoot ndege
Game hilo nililiona mwaka 2012 kwenye PC ya mwalimu wangu hivyo hata sikumbuki jina lake.
Natanguliza shukran.
Asante mkuu ingawa co hili nita download badala yake
Sawa mkuuAsante mkuu ingawa co hili nita download badala yake