Natafuta HIV Reagents

Natafuta HIV Reagents

Mheshimiwa hyo so ningeenda tu dispensary nataka pima nkiwa na mtu
Unataka pima ndani ukiwa na mtu, kwani hospitali hawawezi kuwapima.

Au unataka kila anaekuja unampima, kwani unafanyia kazi wapi?
 
Mimi Ninachokuomba Dada Ukishajipima tuletee Mrejesho Hapa chonde chonde Usije Ukaideactivate Hii Account Yako.
 
Back
Top Bottom