Natafuta Hospital ya watu wenye matatizo ya Akili Dar

Natafuta Hospital ya watu wenye matatizo ya Akili Dar

PeterPan

Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
11
Reaction score
2
Morning!

Eti kuna centre ama hospital yoyote private hapa Dar inayoshughulika na tiba ya watu wenye matatizo ya akili especially wale walioathirika na uvutaji wa bhangi?Zaidi ya Muhimbili na labda Mirembe.

Pia naomba kufahamu kama kuna private clinic ya Daktari bingwa yeyote wa magonjwa ya akili.

Asante
 
Back
Top Bottom