Mimi nina miaka 32, elimu ya juu, sina mtoto, na sijawahi olewa. Ni mwajiriwa. Naishi kibaha. sifa za nimtakae awe na umri kuanzia miaka 32 mpaka 45, mkristo. Awe mwajiriwa/mjasiriamali. Awe tayari kupima ukimwi. Asiwe na mtoto lakini mwenye mtoto mmoja nitamfikiria.
Mimi nina miaka 32, elimu ya juu, sina mtoto, na sijawahi olewa. Ni mwajiriwa. Naishi kibaha. sifa za nimtakae awe na umri kuanzia miaka 32 mpaka 45, mkristo. Awe mwajiriwa/mjasiriamali. Awe tayari kupima ukimwi. Asiwe na mtoto lakini mwenye mtoto mmoja nitamfikiria.[/QUOTE How can you prove to us that your wife material?
dogo dogo vipi maana huo umri wa unaowataja tayari kasi yao imepungua
Hapana siko tayariUko tayari kuwa nyumba ndogo?kama uko tayari ni PM
Ndo maana nimetaka husband material kwa kuwa nami ni wife materialWw ni yf material?
Mimi ninataka wife material but nina miaka 14,ila kila kitu nitakupatia anachotakiwa kupewa mke
mpaka hapo utapata unawo wahitaji ila unaonekana wewe siyo wife material......ujiamini hivyo hata ndani ya nyumba utakuwa hivyo sasa wewe bio yako unaificha unata za wenzio??(elimu ya juu)???elimu ya watu wazima??
Uko Kibaha gani nikupitie tuongee live? Mimi pia ni wa Kibaha lakini nina 30Mimi nina miaka 32, elimu ya juu, sina mtoto, na sijawahi olewa. Ni mwajiriwa. Naishi kibaha. sifa za nimtakae awe na umri kuanzia miaka 32 mpaka 45, mkristo. Awe mwajiriwa/mjasiriamali. Awe tayari kupima ukimwi. Asiwe na mtoto lakini mwenye mtoto mmoja nitamfikiria.
Nini maana ya husband material!mm sijui nifahamisheni.