Natafuta husband material

Natafuta husband material

Ayana

Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
12
Reaction score
5
Mimi nina miaka 32, elimu ya juu, sina mtoto, na sijawahi olewa. Ni mwajiriwa. Naishi kibaha. sifa za nimtakae awe na umri kuanzia miaka 32 mpaka 45, mkristo. Awe mwajiriwa/mjasiriamali. Awe tayari kupima ukimwi. Asiwe na mtoto lakini mwenye mtoto mmoja nitamfikiria.
 
dogo dogo vipi maana huo umri wa unaowataja tayari kasi yao imepungua
 
Je na wewe ni wife material sio tu kutafuta husband material wakati wewe sio material you heard?
 
Mimi nina miaka 32, elimu ya juu, sina mtoto, na sijawahi olewa. Ni mwajiriwa. Naishi kibaha. sifa za nimtakae awe na umri kuanzia miaka 32 mpaka 45, mkristo. Awe mwajiriwa/mjasiriamali. Awe tayari kupima ukimwi. Asiwe na mtoto lakini mwenye mtoto mmoja nitamfikiria.[/QUOTE How can you prove to us that your wife material?
 
Mimi ninataka wife material but nina miaka 14,ila kila kitu nitakupatia anachotakiwa kupewa mke
 
Ma age 26,nahitaj hyo nafac-text me on 0687057467 or pm
 
dogo dogo vipi maana huo umri wa unaowataja tayari kasi yao imepungua

weeeee...acha ku-generalize!!! mimi niko 40 plus lakini moto wangu si mchezo! by the way suala la kasi siku hizi hata wenye 25yrs wanapatwa na tatizo hilo. we life ya siku hizi...full of life stress na vyakula vilivyochakachuliwa (mchinalized) kasi ipatikane wapi? ukitaka kujua hilo ni tatizo angalia matangazo madogo kwenye magazeti! a lot of them!
 
Mpaka hapo utapata unawo wahitaji ila unaonekana wewe siyo wife material......ujiamini hivyo hata ndani ya nyumba utakuwa hivyo sasa wewe bio yako unaificha unata za wenzio??(Elimu ya juu)???Elimu ya watu wazima??
 
Uko tayari kuwa nyumba ndogo?kama uko tayari ni PM
 
dogo dogo siwataki hawajajua maana ya maisha bado
 
mpaka hapo utapata unawo wahitaji ila unaonekana wewe siyo wife material......ujiamini hivyo hata ndani ya nyumba utakuwa hivyo sasa wewe bio yako unaificha unata za wenzio??(elimu ya juu)???elimu ya watu wazima??

huku umekuja kutafuta nini nakuuliiza??????????
 
Mimi nina miaka 32, elimu ya juu, sina mtoto, na sijawahi olewa. Ni mwajiriwa. Naishi kibaha. sifa za nimtakae awe na umri kuanzia miaka 32 mpaka 45, mkristo. Awe mwajiriwa/mjasiriamali. Awe tayari kupima ukimwi. Asiwe na mtoto lakini mwenye mtoto mmoja nitamfikiria.
Uko Kibaha gani nikupitie tuongee live? Mimi pia ni wa Kibaha lakini nina 30
 
Unatafuta mume sasa, ulikuwa wapi umri wote huo?pia kwa masharti hayo, sidhani kama utampata uliyemtarajia. Elimu ya juu na mapenzi ni vitu viwili tofauti. Hakuna mwanaume atakayetishika na elimu yako hiyo, inachotakiwa ni maelewano. Halafu nani aliyekwambia kuwa umri mkubwa ndio wanajua maisha?
 
Nini maana ya husband material!mm sijui nifahamisheni.

Material is anything made of matter, constituted of one or more substances! Exampe wood, water, hydrogen etc! So husband material is any husband made of matter constituted of one or more substance! Teh!
 
Back
Top Bottom