Natafuta incubator

Natafuta incubator

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,702
Wakuu habari
Wakati wa nane nane dodoma mwaka huu kulikua na wauzaji wa incubator ndogo ya mayai 8 kama sijakosea na walikua wanauza 80,000 tafadhali kama kuna supplier humu wa hizo incubator au zinazofanana kwa bei naomba nisaidiwe,au kama kuna yeyote anaweza kunielekeza ni wapi nitapata alike nipo tayar kwenda,mi niko dar
 
Mkuu kama unampango wa kununua ya mayai 8 ckushauri ni bora inunue kuku aatamie ina gharama za uendeshaji na output yake ni 0.0% ya uwekezaji
 
Wakuu habari
Wakati wa nane nane dodoma mwaka huu kulikua na wauzaji wa incubator ndogo ya mayai 8 kama sijakosea na walikua wanauza 80,000 tafadhali kama kuna supplier humu wa hizo incubator au zinazofanana kwa bei naomba nisaidiwe,au kama kuna yeyote anaweza kunielekeza ni wapi nitapata alike nipo tayar kwenda,mi niko dar

ninayo ya mayai 48, kama utakua interest nitafute 0719722161
 
Back
Top Bottom