N Ndeleya Member Joined Mar 20, 2009 Posts 18 Reaction score 6 Jul 17, 2015 #1 Natafuta mashine ya kuangulia mayai. Mwenye info mahali zinapopatikana na bei zake kulingana na capacity. Kama hutajali na mashine ya kuchanganya chakula.
Natafuta mashine ya kuangulia mayai. Mwenye info mahali zinapopatikana na bei zake kulingana na capacity. Kama hutajali na mashine ya kuchanganya chakula.
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Jul 17, 2015 #2 Wapigie hawa jamaa watakuuzia kwa bei ya kawaida tofauti na wengine: 0658 939 091 Lakini usisite kunipa angalau kavocha mwanangu #Ndeleya .
Wapigie hawa jamaa watakuuzia kwa bei ya kawaida tofauti na wengine: 0658 939 091 Lakini usisite kunipa angalau kavocha mwanangu #Ndeleya .
N Ndeleya Member Joined Mar 20, 2009 Posts 18 Reaction score 6 Jul 18, 2015 Thread starter #3 Ahsante ntawatafuta. Nikipata kwa bei nzuri usikonde ntakurushia kavocha hata ka buku!