Natafuta incubator

Natafuta incubator

Ndeleya

Member
Joined
Mar 20, 2009
Posts
18
Reaction score
6
Natafuta mashine ya kuangulia mayai. Mwenye info mahali zinapopatikana na bei zake kulingana na capacity. Kama hutajali na mashine ya kuchanganya chakula.
 
Wapigie hawa jamaa watakuuzia kwa bei ya kawaida tofauti na wengine: 0658 939 091
Lakini usisite kunipa angalau kavocha mwanangu #Ndeleya .
 
Ahsante ntawatafuta. Nikipata kwa bei nzuri usikonde ntakurushia kavocha hata ka buku!
 
Back
Top Bottom