Tumia lessen yako hiyo ya Class C kufungua office yako ya installation! Usiwaze kuhusu swala la mtaji! Nenda hapo wilayani kwako kwenye office za Tanesco! Ongea na meneja atakupa muongozo, atakuunganisha na mactroctor wanaohusika na umeme!! Utafanya kazi nao!! Kumbuka hakuna nyumba inayoweza kufanyiwa installation bila mhuri wako!!!