Natafuta jimama

Natafuta jimama

Mwakifuku

New Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Natafuta jimama wa junilea awe na umri kuanzia miaka 40 na kuendelea awe mnene na mrefu
 
Mm ni jibaba natafuta vijana kama wewe amabao hampendi kujishughulisha niwalee! ila uje umevaa msuli, kama ukivaa suruali zipu iwe nyuma!
 
Mm ni jibaba natafuta vijana kama wewe amabao hampendi kujishughulisha niwalee! ila uje umevaa msuli, kama ukivaa suruali zipu iwe nyuma!

hahahaha kwani hizi sheria za kule kwa malkia zimeanza kutumika ?
 
Natafuta jimama wa junilea awe na umri kuanzia miaka 40 na kuendelea awe mnene na mrefu

Inaonyesha hujui kutongoza na mfukoni huna kitu angalia dogo utapakatwa
 
Haya majimama wa JF kazi kwenu...
 
Duh! nakuonea huruma na dunia hii ya leo mtoto wakiume unataka kulelewa! umelelewa kwenu mpakaa sasa unataka kulelewa na ulimwengu shame on you.
 
Pole dogo, ila angalia utkuja lelewa na wanaume sasa. wewe shida yako si upate malezi tu, basi kama magari ya kifahari utaendesha, tv flat screen inch 48 utakuwa nayo chumbani kwako, misosi ya heshima itakuwa kitu kidogo kwako kwani utakuwa unapika mwenyewe.
lkn mwisho wa yote utakuwa unavaa khanga moko, ndembe ndembe kwa kukustahi unaweza vaa na T-shirt badala ya ki-top.
si unakumbuka 20% aishaimba "chunga tamaa mbaya",
rahisisha mahitaji yako,
ongeza kipato chako,
 
Acha tamaa swhiba utakufa mapema,,,,kuna magonjwa jombaaaah!
 
Back
Top Bottom