milcyphina_tz
Member
- May 24, 2019
- 12
- 1
Kama ni mambo mbalimbali ambayo hayahusiani andika tu"MILCYPHINA INVESTMENT LTD"Habari zenu ndugu zangu ......nilikuwa naomba msaada wa ushauri na mawazo na maoni juu ya jina bora la kampuni .....nataka kuanzisha kampuni ambayo itajishunghulisha na mambo mengi kama kutengeneza logo itayokaa kwenye nguo ......stationary.... Bakery.....Saloon na kiwanda cha kutengeneza fresh juice .......Nasikiliza mawazo yenu ndugu zangu ili niweze kupata jina bora la kampuni litakaloniwezesha kutangaza hizo biashara kwa urahisi zaidi ...Asanteni!!!!
Asante sana ndugu ......ila hilo jina sio gumu eeeeh??Kama ni mambo mbalimbali ambayo hayahusiani andika tu"MILCYPHINA INVESTMENT LTD"
Nashkuru sana ndugu yanguMILYCYPHINA GROUPS COMPANY LIMITED
Sio gumu tena limekaa powa sana kwa sababu Hilo jina ni adimu Ina maana hakutakuwa na mtu mwingine mwenye jina Kama hilo.Asante sana ndugu ......ila hilo jina sio gumu eeeeh??
ubaridi gani ulio umaanisha?[emoji23][emoji23]hahaahhaa....una ubaridi ww
Wooow asante sanaNingependa details zaidi ilikuwezesha Brand Identity itakayosimama maisha.
Nimefanikiwa kutengeneza:-
- TONSPIEL
- Snash
- NIBIRII
- Compostela Films
- Vancanv Drinks and many more...
Yea hapo ni kwel asanteSio gumu tena limekaa powa sana kwa sababu Hilo jina ni adimu Ina maana hakutakuwa na mtu mwingine mwenye jina Kama hilo.
Nashukuru kwa ushaurikati ya yote hayo unayotaka kuyafanya umeshaanza kufanya lipi kuliko kuingia gharama ya kampuni mapema anza hata na hizo juice, stationery au bakery wakati unahesabu pesa jina litakuja tu na kampuni utaanzisha.., kama haufanyi kazi za tender au watu wanaohitaji uwe na kampuni..., kampuni ni gharama tu..
Asante eehLakewood art & design co.Ltd
KaribuWooow asante sana
[emoji16]asanteeeeMABIRIAN COMPANY LIMITED.
Nimezoeaga huo msemo..its like unacheza wwubaridi gani ulio umaanisha?[emoji23][emoji23]
JamaniMABIRIAN COMPANY LIMITED.