Natafuta jina bora la kampuni

Natafuta jina bora la kampuni

Vp ukiweka jina la Cyprian Musiba company maana kwa jina hili hata TRA hawakufata kabisa....
 
Habari zenu ndugu zangu ......nilikuwa naomba msaada wa ushauri na mawazo na maoni juu ya jina bora la kampuni .....nataka kuanzisha kampuni ambayo itajishunghulisha na mambo mengi kama kutengeneza logo itayokaa kwenye nguo ......stationary.... Bakery.....Saloon na kiwanda cha kutengeneza fresh juice .......Nasikiliza mawazo yenu ndugu zangu ili niweze kupata jina bora la kampuni litakaloniwezesha kutangaza hizo biashara kwa urahisi zaidi ...Asanteni!!!!
Tyetyetye Co LTD
 
Jina liwe jepesi na linaloweza kukumbukwa kwa urahisi na watumiaji wa bidhaa
 
Jina liwe na sifa kama,
Linasema huduma
Linatamkika
Linavutia
Linakumbukika
Sio lugha mbaya wala halina ubaguzi wa namna yeyote

Kwa msaada wa kusajili kwa bei nafuu na kwa haraka. Tupo kwaajili yako
 
Back
Top Bottom