kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
[emoji23][emoji23]Jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Jamani
Tyetyetye Co LTDHabari zenu ndugu zangu ......nilikuwa naomba msaada wa ushauri na mawazo na maoni juu ya jina bora la kampuni .....nataka kuanzisha kampuni ambayo itajishunghulisha na mambo mengi kama kutengeneza logo itayokaa kwenye nguo ......stationary.... Bakery.....Saloon na kiwanda cha kutengeneza fresh juice .......Nasikiliza mawazo yenu ndugu zangu ili niweze kupata jina bora la kampuni litakaloniwezesha kutangaza hizo biashara kwa urahisi zaidi ...Asanteni!!!!