Natafuta kabinti kateke (ila kawe 18+)

Natafuta kabinti kateke (ila kawe 18+)

tena simba jike wakiwa na watot ndo hasira masaa yote..
Kaa mbali hahahah lol

akiwa na mtoto thamani inapungua na dume nae anaenda zake kutafuta totoz
kwahiyo hasira zake ni defensive tu! L.o.l
 
Jamani natafuta kabinti kadogo, kateke, english medium, dot. com ambacho kitakuwa kinaniliwadha kwa kuniimbia nyimbo za blues na swagga za kudeka deka hivi na kunitania tania na vijimambo vingine kama kuni-facebook n.k ila sio kuchakachuana

Sina nia mbaya ni kutaka tu kujifurahisha mtima wangu na kupunguza stress za maisha ila narudia tena kuchakachuana NO

Fataki ushindwee, na utokomee.
 
akiwa na mtoto thamani inapungua na dume nae anaenda zake kutafuta totoz
kwahiyo hasira zake ni defensive tu! L.o.l

haya tena unataka kusema hata hata simba wana Open relation hahahha lol...
 
haya tena unataka kusema hata hata simba wana open relation hahahha lol...

yeah but its more one sided...
Ndo maana unaweza kukuta kundi kuuubwa la majike lina ongozwa na just one male lion
na simba mwingine dume akisogea hapakaliki
 
yeah but its more one sided...
Ndo maana unaweza kukuta kundi kuuubwa la majike lina ongozwa na just one male lion
na simba mwingine dume akisogea hapakaliki

hahahahh lol
every thing make sense now lol
ndo maana ukaamua kuwa king of the jungle ajili hiyo lol
 
Back
Top Bottom