Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
ndo ivo mkuu.Aisee...
Hapo ukute katoka nachingwea kaja na akida trans.Pale unapokuja mjini ukubwani au umeamishiwa mjini kikazi na huna company
Anaona marangirangi tu. Karibu mjiniHapo ukute katoka nachingwea kaja na akida trans.
Hivi kwanza umejiandaa na Sh ngap? Sbb mjini watu wana kamba bierre ucpime mtu mmoja anagonga 12/15 sasa kama una 50 inavibrate mfukoni utalala milango wazi,Acha us jambs wewe group ya outings?
Haaaaaaa miss u vitaamanaHivi kwanza umejiandaa na Sh ngap? Sbb mjini watu wana kamba bierre ucpime mtu mmoja anagonga 12/15 sasa kama una 50 inavibrate mfukoni utalala milango wazi,
Wadau,
Mwenzenu nimeona sio dili kwenda Night Clubs za jiji hili peke yangu maana inakuwa ni changamoto hata kwenye uopoaji vimwana, pia bila kampani hata bia hazinogi. So kama upo interested please niPM kwaajili ya kuunda Crew ya mitoko na kupeana kampani pale kila mmoja anapokuwa hana shughuli, kutembekeana n.k. Thanks
Hela ninazo.Una hela ya bia.......?.....sio utupe matatizo wenzio......