Natafuta kampani ya washkaji 3-5 kwaajii ya mitoko kila wikendi

Natafuta kampani ya washkaji 3-5 kwaajii ya mitoko kila wikendi

Pole sana mkuu,bado u mvulana sana,una kazi ya ziada na bila kusahau maombi ili uache hizo tabia,kula maisha bro,life start at 40yrs tutakutana!
Dah!
Huu msemo wa LIFE BEGINS AT FORTY, kuna siku nilikutana na mzee wa kama 65-70 ltk daladala, dalala ilikuwa inasubiri abiria kituoni hivyo tulikuwa watu kama wanne hivi, mzee ni mstaafu, akaanza kutupa maneno ya hekima pale kuhusu ile kanuni ya THINK BIG, kisha akamalizia na huo msemo wa LIFE BEGINS AT FORTY, dah, aliongea point sana! Nikafahamu kuwa pamoja na ujana wangu natakiwa niule kwa umakini, ikifika miaka 40-45 bado sijajiimarisha msingi, basi maishani imekula kwangu, nitaishia kuwa-admire wenzangu ambao hawakuchezea sana ujana na kujijenga!

HIVYO MLETA UZI, jipange na kula ujana wako bila kupitiliza! Kama mwenye comment alivyosema, hao marafiki au kampani yako utakuja kutana nao tena huko ukubwani (40s), ndo kama hukujipanga utaisoma namba!
 
mjini kuna viwanja vingi sana sidhani kama unahela ya kuvimudu
 
Back
Top Bottom