Natafuta kampuni inayo print PVC lables

Natafuta kampuni inayo print PVC lables

ROKY

Senior Member
Joined
May 4, 2011
Posts
182
Reaction score
70
Wana JF,
Natafuta kampuni inayo print PVC lables au stickers.
PVC lables hizi zinabandikwa kwenye mifuko au chupa za kufungi bidhaa mbali mbali.
Naweka mfano wa PVC lables hapa chini, asanteni sana.

images
 
Asante. Hawa Delphina wako wapi ?
Naomba contacts zao (namba za simu na mahali zilipo ofisi zao).

njoo lugumi au pm me namba yako tuwasiliane ntakupa bei nzuri,tupo kariakoo mtaa wa aggrey oppozt mkombozi bank
 
Back
Top Bottom