Natafuta kampuni inayoweza kunikopesha, sina dhamana

Graxsam

Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
83
Reaction score
94
Wadau nina shida na hela kama milioni 3 kwaajili ya kuendesha biashara yangu ya kubadilisha fedha za kigeni yani kwacha kuwa tsh nlikua naomb kujua kampuni yenye uwezo wa kunisaidia hiyo hela ila sina kitu cha kuweka dhamana yan sina hata kiwanja natokea songwe tunduma.
 
Karne hii ambayo vijana hamuogopi madeni mtu akupe hela kwa namna hii unavyojieleza kweli? Ndiyo maana hata serikali inawaambia muwe kwenye makundi hamfai kabisa

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Nchii tunavijana wa hivyo sana haijawai kutokea yani uoeww kama mwanamke 3ml? Na umekomaza shingo na thread kujibujibu mzaa dah hii nchi uhuru umezidi sana.
 
Kwacha ikishuka hapo kisimani mnapo uza kwacha ni kwamba umepigwa😁😁
 
Chakufanya jipange angalau upate kiwanja, then unaweza kukitumia kupata mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…