Hujui kuwa kuna watu wanayo mabasi yamepaki na hawajui wayapeleke wapi na route nyingi za mabasi zinaishia stend za mikoa tu,kuna route nyingine za kuingia ndani kabisa huko mikoani na huko ndo kuna wateja lukuki.unatafuta kazi ya udereva?ama?
Fuatilia kampuni ya Bunda basi na Bunda express haifi kesho walikuja na ubunifu wakuingia stend za wilayani sio mikoani tu mpaka leo wanapiga hela.Achana na basi za kichina.umegundua mkuu ila ka ni vumbi usitegmee mtu ataleta gari huko labda yale yanayokaribia kufa
kweli mkuu mchina life yake si ndefu labda wale wanabadilisha injineFuatilia kampuni ya Bunda basi na Bunda express haifi kesho walikuja na ubunifu wakuingia stend za wilayani sio mikoani tu mpaka leo wanapiga hela.Achana na basi za kichina.
Ahaaa poa sana nimeshacheki ntamtonya jamaa yangu ana mambasi yanaitwa ONDIO BAKULIOKama ww unaishia kufikiria mpaka hapo basi,cheki post hapo juu inayohusu route za bunda basi na express.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hiyo itakuwa ni Dar Zanzibar