Natafuta kampuni/mtu binafsi mwenye mabasi ya kutoka Dar kuja mikoani nimwonesha route mpya ambayo itamlipa

Natafuta kampuni/mtu binafsi mwenye mabasi ya kutoka Dar kuja mikoani nimwonesha route mpya ambayo itamlipa

Arista

Senior Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
138
Reaction score
103
Wapendwa wanajamii natafuta kampuni/ mtu binafsi mwenye mabasi ya kutoka Dar kuja mikoani nimwonesha route mpya ambayo itamlipa haswaa na haijagunduliwa na wajanja wengine,inahitaji basi mbili tu zitakazopishana kila siku,ukiwahi nina imani hakuna atakayeleta mwingine maana si route ya magari mengi ila kwa basi mbili inalipa haswaa.Tuwasiliane 0622 296251.
 
umegundua mkuu ila ka ni vumbi usitegmee mtu ataleta gari huko labda yale yanayokaribia kufa
 
unatafuta kazi ya udereva?ama?
Hujui kuwa kuna watu wanayo mabasi yamepaki na hawajui wayapeleke wapi na route nyingi za mabasi zinaishia stend za mikoa tu,kuna route nyingine za kuingia ndani kabisa huko mikoani na huko ndo kuna wateja lukuki.
 
umegundua mkuu ila ka ni vumbi usitegmee mtu ataleta gari huko labda yale yanayokaribia kufa
Fuatilia kampuni ya Bunda basi na Bunda express haifi kesho walikuja na ubunifu wakuingia stend za wilayani sio mikoani tu mpaka leo wanapiga hela.Achana na basi za kichina.
 
Mkuu kwa msaada labda utupe japo kiduchu maana wengine tunona mabasi yanakwenda kila sehemu.
 
Fuatilia kampuni ya Bunda basi na Bunda express haifi kesho walikuja na ubunifu wakuingia stend za wilayani sio mikoani tu mpaka leo wanapiga hela.Achana na basi za kichina.
kweli mkuu mchina life yake si ndefu labda wale wanabadilisha injine
 
Mkuu kwa msaada labda utupe japo kiduchu maana wengine tunona mabasi yanakwenda kila sehemu.
Kama ww unaishia kufikiria mpaka hapo basi,cheki post hapo juu inayohusu route za bunda basi na express.
 
mwisho wa siku hii ni fursa maana ka wee umeiona basi umeona hela walengwa ni wakuone mpeane ABC watu waokote pesa
 
Back
Top Bottom