Natafuta kampuni ya kunikopesha bajaji

Natafuta kampuni ya kunikopesha bajaji

Jamani wadau naomba kwa mtu yeyote anayejua zile kampuni zinazokopesha bajaji na kurudisha kwa siku aniunganishe nao.

Nipo Morogoaro
Wacheki African traders wapo DSM pia ingia Facebook search utawaona Wana huo utaratibu.
Kila la kheri
 
Back
Top Bottom