Maswi drilling ni wachimbaji wa visima vya aina yote, ni wazoefu na wanawatalam waliobobea katika shughuli zao, wana mashine za kisasa. Pia wana matawi nyanda zote kuanzia, kanda ya ziwa, dsm(ofisi ipo kariakoo), moshi, iringa, na mtwara, wasiliana nao kupitia hapa maswidrilling.com/index.html
Hii ya Kibiti hata mi naisubiria, ukiipata nishtue mkuu!Vipi kule Kibiti, gharama itakuwa kiasi gani?
Hii ya Kibiti hata mi naisubiria, ukiipata nishtue mkuu!
Please!
Wewe ndo mwenye kampuni au unafanya kazi huko?
Mimi nimechimbiwa kisima. Kwanza ilianza survyey kujua kama maji yapo na yapo mbali kiasi gani. Majibu yakaonyesha yapo kuanzia mita 60. Bei ya kuchimba mita moja ilikuwa 60 000. Nikakubali. Akachimba na maji yakapatikana m65. Yakapimwa wingi.kiwango cha chumvi na ubora. Baada ya hapo nikapewa aina za pump na bei zake na kiwango cha ubora. Nikafunga. Dawasco ikawa ni kwaheri.
Survey kwa bei gani mkuu?
Tawa driller ni mabingwa wa uchimbaji visima virefu na vifupi pia tunafanya ground water survey kwa bei rahisi tu kwa walioko dar es salaam tunachimba shillingi 60000 kwa mita moja na pia tunafanya ground water survey kwa shillingi 250000 kwa waliopo dar es salaam lakini pia tunafanya kazi hadi mikoani
Kwa mawasiliano piga simu namba 0628080096
acha Tungoje Majibu Maana Swali Zuri SanaNdugu mtaalamu, naomba kuuliza je inawezekana kupata maji yasiyoyachumvi kwa maeneo ambayo asilimia 95 ya visima vinatoa maji chumvi?. Mfano mzuri ni chunya-mbeya.