Natafuta kasichana kazuri ka mwaka wa kwanza.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Natafuta msichana alye chuo mwaka wa kwanza ambae tutakua wapenzi daima,umri 19-22yrz,kawe keupe,kanene kiasi,karefu kimtindo,macho mazuri,nywele ndefu,kawe kakristo,kawe kasafi ka mwili na tabia,kasiwe kanadeka saana nk.mwenye uhitaj na mim aniPM,only short listed will be contacted.
 
watakuja tuu mwana...wale ambao utawatupa kamndo nipigie pasi
 
Natafuta msichana alye chuo mwaka wa kwanza ambae tutakua wapenzi daima,umri 19-22yrz,kawe keupe,kanene kiasi,karefu kimtindo,macho mazuri,nywele ndefu,kawe kakristo,kawe kasafi ka mwili na tabia,kasiwe kanadeka saana nk.mwenye uhitaj na mim aniPM,only short listed will be contacted.
Ungekuwa serious ungekapata, kazuri, umekakosa huko mtaani, utakapata huku mtandaoni?
 
naona umerudi ki vingiine kabisa mkuu................haya kila la kheri.
 
Natafuta msichana alye chuo mwaka wa kwanza ambae tutakua wapenzi daima,umri 19-22yrz,kawe keupe,kanene kiasi,karefu kimtindo,macho mazuri,nywele ndefu,kawe kakristo,kawe kasafi ka mwili na tabia,kasiwe kanadeka saana nk.mwenye uhitaj na mim aniPM,only short listed will be contacted.
Hivi Senetor unafikiri watu wote tunajua wewe upo mkoa gani, na unataka huyo 1 year awe anatoka chuo gani? Kiukweli thread yako haijitoshelezi kabisa, fafanua kidogo.
 
hamna ulikokapenda huko o level?au kamekukimbia?mkuu ukikakosa humu jaribu mawindoni.nenda pale duce mida ya saa nne asubuhi.utawakuta pale maeneo ya uwanja wa taifa nbc wakilipia fee ndo utawadaka vizuri.au nenda ladies free pale la MAMBO club jiandae tu na hela ya henken na kuku basi.ukishindwa nipm ntakupa maujanja zaidi.mia
 
Kuna thread moja uliandwa kuwa wewe ni afande ukaruka kimanga! Vipi mkuu wewe umejuaje kama Senetor yupo Dsm maana 1 st year kila chuo wapo!
 
kuna siku alianzisha thread ya ngumi mkoni mwenyewe anajifanya kachoka ile mbaya eti"mimi usinione wa kawaida mimi ni nima naweza kukulalua faster"mwenyewe alikua anajiita wa hapahapa mjini.halafu kiswahili alichotumia ni cha vijana wa kule tank bovu hadi tegeta.mia
 
ucjali kk, najua upo udzm ka vp ksh ji2pe mabbo kwnye bash la daruso, watakuepo wote... bt wtchot ckuiz ata fst yr washajua mizinga
 
lakini mkuu pamoja na yote unatakiwa kuvumilia sababu sasa hivi bado mapema sana.sasa hivi bado wana hela halafu wanajifanya wamekuja kusoma.subili kwanza kichwa kiwachemke.utampata tu kilahisi.mia
 
hilo neno "ka" kazuri, keupe etc mi nimeiona kua alama ya dharau... mtazamo wangu.
 
Hivi Senetor unafikiri watu wote tunajua wewe upo mkoa gani, na unataka huyo 1 year awe anatoka chuo gani? Kiukweli thread yako haijitoshelezi kabisa, fafanua kidogo.

wel,niko dar hapa udsm,nataka hako karembo katoke chuo chochote ila kawe kana boom na kawe kanachukua bachelor yoyote inayohusiana na education,katoke udsm,duce,mkwawa,mzumbe na udom.
 
kaka,mzuri hatafutwi mtandaoni. Huko huko mtaani. Alafu hivyo vigezo,mh!
 
Mpumbafu sana wewe kijana....peleka huu ujinga wako Facebook,twitter,Google+ etc ambapo wanafunzi wenzako wa vyuo vya kishenzi vya nchi hii wapo...Huko utapata mpaka na mashoga kama utataka.
 
tena yaelekea na wewe ni m1 wa hao mashoga.
 
Mpumbafu sana wewe kijana....peleka huu ujinga wako Facebook,twitter,Google+ etc ambapo wanafunzi wenzako wa vyuo vya kishenzi vya nchi hii wapo...Huko utapata mpaka na mashoga kama utataka.
Naona Senetor amekujibu haraka sana lakini sisi tumemuuliza maswali mengi tu ameuchuna! Kifupi umenifurahisha sana tehe tehe tehe.
 
Back
Top Bottom