natafuta kaz ndan ya likizo

natafuta kaz ndan ya likizo

Beesmom

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
17,202
Reaction score
28,732
Samahani kama nitawavuruga vichwa,,ila naomba mnielewe .
Mwez wa 12 nina likizo ya mwez 1 means hadi januari,nataka ndani ya kipindi cha likizo hiyo mpaka shule zinafungua niwe nimeingiza at least laki 3 au 4.Naombeni vibarua hivyo bas wandugu...badala ya kulala tu na kuzunguka mwez mzima nipate pa kuingiza kitu.Hata ukondakta nipige debe nitafanya(serious). Mwalimu from mbeya....karibuni
 
Kila la kheri teacher, ivi hua unafundisha masomo yepi vile na kwa level ipi ?
 
Mi shule msingi mkuu,yote nafundisha ila niyapendayo ni Hisabati na kiswahili
 
Hapa kwangu kuna kazi za ndani, nitalipa hio pesa, karibu sana.
 
Back
Top Bottom