Ngoja nisimame hapa kabla muongozo zaidi unaletwaKuna watu wangehitaji watoto wao wafundishwe nyumbani kipindi cha kikizo nadhani hiyo ingekufaa.
Mkuu wewe wanao hutaku mwalimu wakuwapiga brush kipindi cha likizo?Ngoja nisimame hapa kabla muongozo zaidi unaletwa
Kwa sasa hiyo huduma siihitaji, muda ukifika likizo za watu hawa hazitaenda bure bureMkuu wewe wanao hutaku mwalimu wakuwapiga brush kipindi cha likizo?
I wish you all the best. Ila umesema ni "mwalimu kutoka Mbeya " hujasema kama ulipo ni Mbeya au ni wapi.Kama wapo wajitokeze,hisabati na kiswahili
Hata wanawake wanavichezea vitoto vya kiume, acha kujifariji na uanamke wako.Tena mi ni ke,ivo no madhara kwa wanangu(wanao)
Kila la kheri teacher, ivi hua unafundisha masomo yepi vile na kwa level ipi ?Samahani kama nitawavuruga vichwa,,ila naomba mnielewe .
Mwez wa 12 nina likizo ya mwez 1 means hadi januari,nataka ndani ya kipindi cha likizo hiyo mpaka shule zinafungua niwe nimeingiza at least laki 3 au 4.Naombeni vibarua hivyo bas wandugu...badala ya kulala tu na kuzunguka mwez mzima nipate pa kuingiza kitu.Hata ukondakta nipige debe nitafanya(serious). Mwalimu from mbeya....karibuni
Primary au??Kama wapo wajitokeze,hisabati na kiswahili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu nyie lolHata wanawake wanavichezea vitoto vya kiume, acha kujifariji na uanamke wako.