Natafuta Kaz ya udereva wa binafsi au tx mtandano

Natafuta Kaz ya udereva wa binafsi au tx mtandano

Joined
May 2, 2024
Posts
21
Reaction score
10
Ndugu jama na marafik nipo mbele yenu kuomba Kaz ya udereva

Nafanya kazi ya udereva
-gar ya nyumbani
-gar ya tasisi yoyote
-gar ya tx mtandao Uber bolt
Nina uzofu wa mwaka Moja na nusu sasa
Naomba ushirikiano wenu kwenye kulifanikisha hili
 
Back
Top Bottom