Ibrahim hamadi Member Joined May 2, 2024 Posts 21 Reaction score 10 Feb 20, 2025 #1 Ndugu jama na marafik nipo mbele yenu kuomba Kaz ya udereva Nafanya kazi ya udereva -gar ya nyumbani -gar ya tasisi yoyote -gar ya tx mtandao Uber bolt Nina uzofu wa mwaka Moja na nusu sasa Naomba ushirikiano wenu kwenye kulifanikisha hili
Ndugu jama na marafik nipo mbele yenu kuomba Kaz ya udereva Nafanya kazi ya udereva -gar ya nyumbani -gar ya tasisi yoyote -gar ya tx mtandao Uber bolt Nina uzofu wa mwaka Moja na nusu sasa Naomba ushirikiano wenu kwenye kulifanikisha hili