Natafuta Kazi -Arusha

Natafuta Kazi -Arusha

viccah

Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
16
Reaction score
2
Mimi ni mgeni katika jukwaa hili, naombeni msaada wenu nipo Arusha na nina tafuta kazi hata kwa mtu binafsi nitafanya si lazima serikalini.Professional yangu ni Receptionist, Secretary and Customer Care Service.
Nitashukuru sana, Email yangu ni veronicajr00@yahoo.com.
Ahsanteni.
 
Kutoka Chuo gani? hiyo Diploma ulisoma muda gani?

Bushbaby hivi unataka kumsaidia huyu ndugu au unafanya usaili hapa? maana masuli unayouliza hapa
hayatamsaidia yeyote mwenye kusoma thread hii. viccah ameweka email yake, sasa kama unataka
details zake zaidi kwa nini usimtumie email? Mimi sioni sababu ya masuali yako kuwekwa hapa kabisa!
 
Back
Top Bottom