Natafuta kazi au connection ya Kazi

Natafuta kazi au connection ya Kazi

Rosh Hashannah

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
3,415
Reaction score
2,043
Habarini wadau, poleni na majukumu ya kila siku ya kutafuta ridhiki.

Mimi ni mwalimu niliyehitimu katika chuo kikuu cha St. John (Dodoma) katika shahada ya ualimu wa masomo ya Chemistry na Biology. Ninaishi Mtwara.

Nina uwezo wa kufanya kazi katika mazingira tofauti, pia napenda kufanya utafiti (research) mbalimbali, kuandaa solutions na samples tofauti kwenye maabara za shule.

Hivyo natafuta kazi ya ualimu wa O-level au A-level.

Natanguliza shukrani na nawatakia maandalizi mema ya mwaka mpya 2021.
 
Back
Top Bottom