charlesfundi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 220
- 289
Nenda tanesco(ofisi iliyokaribu nawe) huwa wanaajiri vibarua hadi LA 7b.
[/QUOasante mkuu ila saizi mfumo wa kazi na hata vibarua umebadilika sanaa nabaada ya kula kitu kuhamishiwa utumishi mambo yamekua magumu ila nitajaribu mkuu shukrani
Nenda Tanesco ofisi iliyo karibu nawe ukaombe ukawe hata S.T.E ila hiko cheti chako cha DIP wasikione maana hawaruhusiwi Technician kuwa S.T.E maana ni level kubwa kwa Tanesco.Kila la kheri mkuuHabari wana jamvi nimatumaini yangu nyote mu wazima.
Mimi nikijana umri miaka 25 natafuta kazi au kibarua cha muda katika kada ya umeme au nje ya umeme naweza kufanya kazi sehemu yoyote lakini kwa sasa niko Dar es salaam.
Nina ordinary diploma katika umeme (OD in electrical engineering ), tafadhali ndugu zangu kama kuna wahandisi, au watu kwenye projects binafsi na wanataka usaidizi au wanawiwa kunisaidia nitafurahi, natanguliza shukurani..
Kwanza kabisa Mura amang'ana maana naimani sote tutakua kabila moja dhaa kuhusu mambo ya mifugo na kilimo sina ujuaji kabisa sema kuna mkuu ida mmoja was idara ya mifugo yuko sehemu ayo ndo mambo yake labda nicheki number take nikupe anaweza kukushauri Mura.Kama una fani hiyo. Huwezi ukanishauri kuhusu ngombe Wa Maziwa.nahitaji niwe na kijiwe cha ufugaji tarime na hapo Mza.itapata angalau hata Milioni kama utanisimamia kazi Yangu vizuri mkuu. Ni wape nipate mbegu nzuri ya kutoa angalau Lita 30 kwa Siku.pia banda la ngombe likaaje. Banda la kuhifadhia chakula chao. Pia na ile MASHINE ya kukatia nyasi na kuzifunga mkuu.kikubwa ni mbegu nzuri na matunzo yake
Sawa mkuu sema sasa ivi kidogo mambo yame badilika baada ya kula kitu kuhamishiwa utumishi ata hizi nafasi za STE zimekua ngumu sana ila nitajaribu shukurani sanaNenda Tanesco ofisi iliyo karibu nawe ukaombe ukawe hata S.T.E ila hiko cheti chako cha DIP wasikione maana hawaruhusiwi Technician kuwa S.T.E maana ni level kubwa kwa Tanesco.Kila la kheri mkuu
Nafahamu nilichokushauri we nenda mzee S.T.E haihusiani na UTUMISHI kila la kheri.Sawa mkuu sema sasa ivi kidogo mambo yame badilika baada ya kula kitu kuhamishiwa utumishi ata hizi nafasi za STE zimekua ngumu sana ila nitajaribu shukurani sana
Sasa mkuu nashukuru sanaNafahamu nilichokushauri we nenda mzee S.T.E haihusiani na UTUMISHI kila la kheri.
Nimoja ya plans zangu kwambeleni mkuu nilitaka tu nipate platform flani kwa sasa atlest nipate kipato chochoteujawaza kujiajiri mkuu ivi? why uajiriwe akati level uliyo ni cream????
Mkuu wanachua wenye level gani s.t.e mkuu na mm nina saka kaziii ni electricianNenda Tanesco ofisi iliyo karibu nawe ukaombe ukawe hata S.T.E ila hiko cheti chako cha DIP wasikione maana hawaruhusiwi Technician kuwa S.T.E maana ni level kubwa kwa Tanesco.Kila la kheri mkuu
Sasa mkuu nicheki PMMkuu naomba tuungane katika kusaka kazi aise mm ni electrician mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app