Natafuta kazi au kibarua

Natafuta kazi au kibarua

Muddy123

Member
Joined
Nov 6, 2022
Posts
25
Reaction score
16
Naitwa Mudi mkazi wa Mbagala umri mika 30. Natafuta kazi au kibarua cha kufanya popote ndani au nje ya Dar kikubwa iwe ya uhakika na pia nimesomea Ualimu wa Masomo ya Sanaa Geography na History

Niko tayari kwakazi yoyote itakayopatikana iwe ni kiwandani au kampun au shule

Namba yangu ni 0693206150
 
Kumbe unataka vibarua vya kiwandani au shuleni, nilidhani vya shamba, ningekupatia
 
Kumbe unataka vibarua vya kiwandani au shuleni, nilidhani vya shamba, ningekupatia
Acha kupindisha maelezo.....maudhui kamili nikazi yyte we umeishia kuelewa hapo tu
 
Acha kupindisha maelezo.....maudhui kamili nikazi yyte we umeishia kuelewa hapo tu
Sawa, Nina mashamba yangu huku kaliua, muda wa kupanda tumbaku umekaribia, nauli ya kuja juu yako, njoo kiongozi unifanyie kazi
 
Kuna mchongo wa kwenda kugema gundi huko Iringa wanaabza Mwezi ujao hiyo Kampuni kupokea watu
 
Back
Top Bottom