Natafuta kazi, civil engineer

Natafuta kazi, civil engineer

Evodia Julius

Member
Joined
Mar 19, 2024
Posts
6
Reaction score
3
Habari za wakati huu ndugu zangu, mimi ni mhitimu wa ngazi ya degree in civil engineering mwaka 2023, natafuta kazi ( ushauri pia napokea)
 
Kuna uzi uliandikwa jana kulikuwa kunahitajika civil engineers wawili wanahitajika waliomaliza 2023 utafute nikuona nitakulink
 
Back
Top Bottom