E Evodia Julius Member Joined Mar 19, 2024 Posts 6 Reaction score 3 Mar 19, 2024 #1 Habari za wakati huu ndugu zangu, mimi ni mhitimu wa ngazi ya degree in civil engineering mwaka 2023, natafuta kazi ( ushauri pia napokea)
Habari za wakati huu ndugu zangu, mimi ni mhitimu wa ngazi ya degree in civil engineering mwaka 2023, natafuta kazi ( ushauri pia napokea)
Moment of silent JF-Expert Member Joined Feb 19, 2021 Posts 855 Reaction score 1,483 Mar 19, 2024 #2 Kuna uzi uliandikwa jana kulikuwa kunahitajika civil engineers wawili wanahitajika waliomaliza 2023 utafute nikuona nitakulink
Kuna uzi uliandikwa jana kulikuwa kunahitajika civil engineers wawili wanahitajika waliomaliza 2023 utafute nikuona nitakulink
Moment of silent JF-Expert Member Joined Feb 19, 2021 Posts 855 Reaction score 1,483 Mar 19, 2024 #3 Evodia Julius said: Habari za wakati huu ndugu zangu, mimi ni mhitimu wa ngazi ya degree in civil engineering mwaka 2023, natafuta kazi ( ushauri pia napokea) Click to expand... Ulimcheki yule jamaa maana naona ukicomment kwenye ule uzi.
Evodia Julius said: Habari za wakati huu ndugu zangu, mimi ni mhitimu wa ngazi ya degree in civil engineering mwaka 2023, natafuta kazi ( ushauri pia napokea) Click to expand... Ulimcheki yule jamaa maana naona ukicomment kwenye ule uzi.
E Evodia Julius Member Joined Mar 19, 2024 Posts 6 Reaction score 3 Mar 20, 2024 Thread starter #4 Moment of silent said: Ulimcheki yule jamaa maana naona ukicomment kwenye ule uzi. Click to expand... Ndio, hajareply
Moment of silent said: Ulimcheki yule jamaa maana naona ukicomment kwenye ule uzi. Click to expand... Ndio, hajareply