Brightly
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 391
- 623
Habariii wakuu?
Husika na kichwa hapo juu natafuta kazii katika makampuni yeyote ya ujenzii wa nyumba au barabara nipo tayari kufanya kazi sehemu yeyote.
Mimi ni mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzii Nina uzoefu wa miaka miwilii katika usimamizii wa barabara na ujenzii wa nyumbaa mwenye connection anisaidiee.
Ahsanteni sana.