Natafuta Kazi Civil Engineering

Natafuta Kazi Civil Engineering

Brightly

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2022
Posts
391
Reaction score
623
Habarii ndugu zangu Watanzania,Mimi ni mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzii (ordinary diploma in civil engineering) kutoka chuo Cha ufundi Arusha mwaka 2020.Natafuta kazi kwenye sekta binafsii au hata kama mtu anawezaa kujitolea kunipa connection serikalini Nitashukuru maisha mangumu mtaanii.
 
Attachments

  • Screenshot_2023-06-16-11-46-29-352_com.twitter.android.jpg
    Screenshot_2023-06-16-11-46-29-352_com.twitter.android.jpg
    192.7 KB · Views: 63
Nashukuru Mkuu,ila naona kwenye tangazo hapo wanahitajii civil engineer mwenye degree ila mm Nina diploma Mkuu,
 
Habarii ndugu zangu Watanzania,Mimi ni mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzii (ordinary diploma in civil engineering) kutoka chuo Cha ufundi Arusha mwaka 2020.Natafuta kazi kwenye sekta binafsii au hata kama mtu anawezaa kujitolea kunipa connection serikalini Nitashukuru maisha mangumu mtaanii.
Habari, Kama unaweza kufundisha wanafunzi wqa cheti na level1-2) ngazi ya VETA, TUWASILIANE (TUPO MOSHI-kidt vtc) 0754469894
 
Habarii ndugu zangu Watanzania,Mimi ni mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzii (ordinary diploma in civil engineering) kutoka chuo Cha ufundi Arusha mwaka 2020.Natafuta kazi kwenye sekta binafsii au hata kama mtu anawezaa kujitolea kunipa connection serikalini Nitashukuru maisha mangumu mtaanii.
bari, tunatafuta mwalimu wa Civil kwa ajili ya kufundisha wanafunzi wa level 1-3 na kazi za chuo -KIDT VTC MOSHI
KAMA UPO INTERESTED TOWASILIANE 0754469794 /0717157640
 
NENDA SEHEMU ZENYE MIRADI, KAZI ZAKO ZIPO HAZITANGAZWI
 
bari, tunatafuta mwalimu wa Civil kwa ajili ya kufundisha wanafunzi wa level 1-3 na kazi za chuo -KIDT VTC MOSHI
KAMA UPO INTERESTED TOWASILIANE 0754469794 /0717157640

Fursa hii wachangamkie
 
Back
Top Bottom