Natafuta kazi clinical officer

Natafuta kazi clinical officer

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
238
Reaction score
954
Helloe, Mimi ni msichana Nina miaka 27,elimu yangu Diploma natafuta kazi idara ya afya "clinical officer" nipo mkoa wa Ruvuma, kwa mawasiliano naomba kuni DM.Asanteni niwatakie kazi njema kwenye kujenga taifa.
 
Helloe, Mimi in msichana Nina miaka 27,elimu yangu Diploma natafuta kazi idara ya afya "clinical officer" nipo mkoa wa Ruvuma, kwa mawasiliano naomba kuni DM.Asanteni niwatakie kazi njema kwenye kujenga taifa.

Just like that?anyway kila jema ila tambua CO kwa sasa ni kama walimu soko ni dogo kuliko uhitaji.
 
Helloe, Mimi in msichana Nina miaka 27,elimu yangu Diploma natafuta kazi idara ya afya "clinical officer" nipo mkoa wa Ruvuma, kwa mawasiliano naomba kuni DM.Asanteni niwatakie kazi njema kwenye kujenga taifa.
Waone MDH wametoa Tangazo
 
Helloe, Mimi ni msichana Nina miaka 27,elimu yangu Diploma natafuta kazi idara ya afya "clinical officer" nipo mkoa wa Ruvuma, kwa mawasiliano naomba kuni DM.Asanteni niwatakie kazi njema kwenye kujenga taifa.
Tafuta kijiwe ukajitolee.

Tafuta vile vya private ,angalau utapata vi mia mbili mia tatu.
 
Helloe, Mimi ni msichana Nina miaka 27,elimu yangu Diploma natafuta kazi idara ya afya "clinical officer" nipo mkoa wa Ruvuma, kwa mawasiliano naomba kuni DM.Asanteni niwatakie kazi njema kwenye kujenga taifa.
Kazi njema
 
Omba kujitolea Peramiho
 
Nenda hospitali za karibu yako ujitolee watakulipa posho sometimes mkataba kutegemea na uhitaji
 
Back
Top Bottom