Natafuta kazi, clinical officer

Natafuta kazi, clinical officer

bK698

Member
Joined
Dec 20, 2023
Posts
26
Reaction score
14
Habarini wana JF, Mimi ni kijana Nina miaka 25, natafuta kazi nimesoma clinical medicine, nipo registered na leseni ninayo, naomba kazi dispensary au health centre, Kwa Sasa nipo mwanza, nawasilisha
Kwa maelezo Zaidi...0719926468
 
Pole sanaa ila jiongeze kwa kujiajiri fungua maabara mpe mhusika alio senea maabara wewe ukae pembeni kama mshauri wa matibabu au utibu kwa kuwauuzia dawa.
 
Mwanza unashughulika na nini? Hivi Mwanza hamnaga Private health facilities?
 
YES exactly. au ukajiunga katika Ofisi ya mwenzako wakati ww unapanga mafaili yako. Hapo inambidi azingatie unyenyekevu.
Absolutely right aende usagara Igoma Buhongwa Nyashishi uko kwote kuna fursa kibao.
 
Pole sanaa ila jiongeze kwa kujiajiri fungua maabara mpe mhusika alio senea maabara wewe ukae pembeni kama mshauri wa matibabu au utibu kwa kuwauuzia dawa.
Mtaji ndo chanamoto
 
Habarini wana JF, Mimi ni kijana Nina miaka 25, natafuta kazi nimesoma clinical medicine, nipo registered na leseni ninayo, naomba kazi dispensary au health centre, Kwa Sasa nipo mwanza, nawasilisha
Kwa maelezo Zaidi...0719926468
subiri TAMISEMI
 
Back
Top Bottom