Natafuta kazi dar

unataka kunong'ona nini uko ndaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Ni privacy issue bana... Unataka kila mtu ajue mambo personal na wewe
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Weeeh mbona hata mi nimeshangaa imekuaje...
Usitake iwe mada humu skip.it πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ Nmecheka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
😁😁😁Aaaagh..
Unafanya sasa nikose cofidense
 
umewaza mbali sana sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Serious nakosa confidence hapa najua kuna watu watukta tu comment yako ile wataanza na mimi..
Hawana dogo wallah tena πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Serious nakosa confidence hapa najua kuna watu watukta tu comment yako ile wataanza na mimi..
Hawana dogo wallah tena πŸ˜‚ πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£Sasa tufanyeje
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£Sasa tufanyeje
Jinga weee kafute hukoooo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Mtoa uzi na mtoa majibu yanayohusu uzi tofauti , ndio kusahau laini kutoa laini ya mchepuo ukaitumia kumpigia baba watoto ama
 
Mtu aliomba umsaidie kufungua account Kisha akapost nawe ukaendelea ku post kama yeye kwanza uka comment ngoja waje halafu ukajibu uliqcha kutokana na changamoto za kuumwa


Oyaaa hakuna mbugila hapa kifupi umeyatimba tunasema umevaba bora ungeuchuna kuliko kujitetea kijinga
Kuna mtu aliniomba nimsaidie kucreate account 🀣🀣🀣
 
Walivyomshtukia angekuwa mjanja angezuga kuwa ile comment ya kuumwa ni kwamba alikuwa ana mjoke mleta uzi kisha akatulia.

Ila siku ikifika badala ya kukanyaga breki unajikuta unakanyaga moto.
 
Wapuuzi kama hawa ndio wanafanya wenye shida kweli wasiaminike pumbav zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…