Imaniyanguitaniponyatu
Member
- Aug 23, 2021
- 54
- 87
Wewe jamaa bure kabisa,mtu yupo serious anaomba kazi wewe unaleta mzaha??!. Amakweli Aliyeshiba hamjui mwenye njaa.Wagogo mbona kazi ya kuomba mnaimudu sana, njoo Dar nikupe chimbo la kuombaomba kwa siku hutakosa 50k
Boss ingekuwa nataka kuomba omba nsingekuja huku,hata wewe hapo ulipo kuna mtu alikupa msaaada binadamu tunasaidiana kwahiyo kuomba msaada wa kazi ni kosa hapa duniani?Wagogo mbona kazi ya kuomba mnaimudu sana, njoo Dar nikupe chimbo la kuombaomba
Amina kiongozi..asante kwa kunipa farajaMungu akutokee na akukutanishe na wale watakaokusaidia katika hili.Pokea sawasawa na kuamini kwako.
Fafanua vizuri taaluma yako, na ikiwezekana hata hizo kazi za kutumia nguvu weka preferences zako mfano je unataka kuuza duka au kubeba zege? Je unaweza kusukuma mkokoteni sokoni? Kuwa houseboy?...n.k.Habarini wakuu
Mimj kijana wa kiume,muhitimu wa chuo kikuu mwaka huu mkazi wa Dodoma mjini.
Natafuta kazi yoyote mjini Dodoma itayoweza nipatia mahitaji yangu ya msingi iwe ya taaluma au ya nguvu.
Nimeshindwa kutafuta internship maana sina mtu yoyote nnaemjua aneweza nisaidia nipate hata intern tu.
Naomba msaada wenu wakuu, mimi ni muaminifu na mchapakazi sana nipe kazi hata kwa week moja bure upime uaminifu wangu
Kuuza duka la nguo au bidhaa nyingine, kubeba zege, kusimamia kazi, msaidizi wa kubeba vitu duka la jumla,kuuza vitu sokoni, kufanya kazi stationary, ukuzaji na uoteshaji mimea, plant breeding au animal breeding, mshauri mambo ya kilimo, mtu anayeweza nipa boda boda pia kwa kurudisha hela kila sikuFafanua vizuri taaluma yako, na ikiwezekana hata hizo kazi za kutumia nguvu weka preferences zako mfano je unataka kuuza duka au kubeba zege? Je unaweza kusukuma mkokoteni sokoni? Kuwa houseboy?...n.k.
Pia inapendeza wewe unayehitaji ndiye uweke mawasiliano yako kwa anayeamua kukusaidia anakupataje.
Njoo nisaidie kuuza Kitimoto hapa njenya Royal Village HotelHabarini wakuu,
Mimj kijana wa kiume, muhitimu wa chuo kikuu mwaka huu mkazi wa Dodoma mjini.
Natafuta kazi yoyote mjini Dodoma itayoweza nipatia mahitaji yangu ya msingi iwe ya taaluma au ya nguvu.
Nimeshindwa kutafuta internship maana sina mtu yoyote nnaemjua aneweza nisaidia nipate hata intern tu.
Naomba msaada wenu wakuu, mimi ni muaminifu na mchapakazi sana nipe kazi hata kwa week moja bure upime uaminifu wangu
Umesoma kozi gani kwa level gani.Habarini wakuu,