Makame Abdallah
Member
- Sep 9, 2021
- 19
- 13
Mdogo wangu,tafuta kazi kwenye makampuni ya migodini,kwa ujuzi huo,mambo yako lazima yanyooke,Mimi nimuhitimu wa chuo kikuu mwenye Bcs. of Environmental Health Officer with IT na pia nimesoma short course ya OSHA NOSHC I (National Occupational Safety Health) natafuta kazi/kujitolea sehemu yyte Tanzania katika Taasisi binafsi/umma au miradi mbalimbal, viwanda mbalimbali, construction industries e.t.c kama Health and Safety Officer.
“NAOMBENI MNIPE UZI WAKUBWA”
Mimi nimuhitimu wa chuo kikuu mwenye Bcs. of Environmental Health Officer with IT na pia nimesoma short course ya OSHA NOSHC I (National Occupational Safety Health) natafuta kazi/kujitolea sehemu yyte Tanzania katika Taasisi binafsi/umma au miradi mbalimbal, viwanda mbalimbali, construction industries e.t.c kama Health and Safety Officer.
“NAOMBENI MNIPE UZI WAKUBWA”
Hujafanya Internship ??Mimi nimuhitimu wa chuo kikuu mwenye Bcs. of Environmental Health Officer with IT na pia nimesoma short course ya OSHA NOSHC I (National Occupational Safety Health) natafuta kazi/kujitolea sehemu yyte Tanzania katika Taasisi binafsi/umma au miradi mbalimbal, viwanda mbalimbali, construction industries e.t.c kama Health and Safety Officer.
“NAOMBENI MNIPE UZI WAKUBWA”
Mimi nimuhitimu wa chuo kikuu mwenye Bcs. of Environmental Health Officer with IT na pia nimesoma short course ya OSHA NOSHC I (National Occupational Safety Health) natafuta kazi/kujitolea sehemu yyte Tanzania katika Taasisi binafsi/umma au miradi mbalimbal, viwanda mbalimbali, construction industries e.t.c kama Health and Safety Officer.
“NAOMBENI MNIPE UZI WAKUBWA”
Bcs. of Environmental Health Officer with ITMimi nimuhitimu wa chuo kikuu mwenye Bcs. of Environmental Health Officer with IT na pia nimesoma short course ya OSHA NOSHC I (National Occupational Safety Health) natafuta kazi/kujitolea sehemu yyte Tanzania katika Taasisi binafsi/umma au miradi mbalimbal, viwanda mbalimbali, construction industries e.t.c kama Health and Safety Officer.
“NAOMBENI MNIPE UZI WAKUBWA”
RUCOBcs. of Environmental Health Officer with IT
Ni chuo gani hapa Tanzania kinatoa hii kozi?
Mimi nimuhitimu wa chuo kikuu mwenye Bcs. of Environmental Health Officer with IT na pia nimesoma short course ya OSHA NOSHC I (National Occupational Safety Health) natafuta kazi/kujitolea sehemu yyte Tanzania katika Taasisi binafsi/umma au miradi mbalimbal, viwanda mbalimbali, construction industries e.t.c kama Health and Safety Officer.
“NAOMBENI MNIPE UZI WAKUBWA”
Bcs. Of Environmental Health Science with ITEti umesoma kozi gani??
NimefanyaHujafanya Internship ??
Huwezi kukosa kazi wala usipanic maana hata serikalini ajira zake zipo kama MaAfisa Afya.
Sawa kiongoziNi pm namba yako ya watsap kama hutojali niwe nakutumia maombi ya nafasi za HSE officer
Saw mkuuOmba kazi Mtwara Referral Hospital wametangaza kazi kwa taaluma uliyo nayo...
Mwisho tarehe 14/09 kama Sija kosea...
Tafuta tangazo omba...!
Saw mkuu nimetafuta san ila bado sijafanikiwa although bado naendelea kutafutaMdogo wangu,tafuta kazi kwenye makampuni ya migodini,kwa ujuzi huo,mambo yako lazima yanyooke,
Daaah!!! shukran san mkuu nafanyia kazi ulichonambiaMkuu jaribu kutuma maombi na hawa jamaa wa yarp merkez email yao ni hii oac@ym.com.tr na pia kuna wale wachina wa BGP wapo mlandizi wanafanya utafiti wa mafuta na gesi ila sina adress zao ila naamini google hauwezi kuzikosa.
hiyo taaluma yako huko nafasi hazikosekani au hata kama kuwaeleza kujitolea jaribu kufika eneo la mradi ulipo na ukajieleza sidhani kama itashindikana hasa kwa hao wachina naamini unaweza kupata mafanikio.
Sent from my M2006C3LI using JamiiForums mobile app
Saw mkuuOmba kazi Mtwara Referral Hospital wametangaza kazi kwa taaluma uliyo nayo...
Mwisho tarehe 14/09 kama Sija kosea...
Tafuta tangazo omba...!
Ndio mkuu uzoefu wa miaka miwili ninaoHivi sasa kuna mradi wa umeme vijiji yaani ( REA), wakandarasi wote wanaoshiriki katika mradi huu, wamepewa sharti la kuwa na maafisa mazingira na afya pia. Ila vigezo vyao ni kubwa watu hao angalau wawe na uzoefu angalau wa miaka miwili na kuendelea
je una uzoefu huo?