Deus lubona
New Member
- Mar 10, 2021
- 4
- 2
Habarini za humu ndugu zangu,
Naitwa Deus graduate wa diploma ya udactari wa mifugo (Ordinary diploma in animal health and production), nimehitimu mwaka 2019 katika chuo cha mifugo LITA TENGERU ARUSHA (Livestock training agency- TENGERU).
Baada ya hapo nimekuwa nikijitolea kutibu mifugo majumbani kwa watu (ambulatory), ili kuwa na experience zaidi ya kile nilichokisomea kwa miaka yangu ya chuo so, nahitaji kupata kazi ya kudumu ambayo nitaifidika nayo niweke kujikimu kimaisha na kuwa na future nzuri, naamini nikipata kazi katika kampuni, farms mbalimbali binafsi, serikalini, maduka ya dawa za mifugo, Taasisi au Kazi yoyote yenu maslahi mbayo ipo out of my professional nitakuwa nimepiga hatua kubwa sana.
Ahsanteni na siku njema.