Habari wakuu!
Mimi ni MWALIMU wa shule za msingi na awali,
Natafuta kazi kwenye shule hizo:-
1.nina DIPLOMA IN EARLY CHILDHOOD EDUCATION
2.nina CERTIFICATE IN INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY.
3.NI MWALIMU WA MZURI :-
*GEOGRAPHY
*KISWAHILI
*ENGLISH
*SCIENCE
*computer
*MICHEZO
4.Naweza kufanya mambo mengi katika shule au taasisi
Kwa sasa niko Dar es Salaam, naweza kufanya kazi popote.
NB: NAOMBA msaada