Sh3isart New Member Joined Nov 10, 2024 Posts 1 Reaction score 2 Nov 15, 2024 #1 Habari, nina degree ya housing and Infrastructure planning (Mipango miji) nimemaliza chuo kikuu Ardhi mwaka 2023 nipo Dar es Salaam. Natafuta nafasi ya kazi au hata ya kujitolea hata kwenye kampuni binafsi . Nitashukuru sana kwa msaada wako.
Habari, nina degree ya housing and Infrastructure planning (Mipango miji) nimemaliza chuo kikuu Ardhi mwaka 2023 nipo Dar es Salaam. Natafuta nafasi ya kazi au hata ya kujitolea hata kwenye kampuni binafsi . Nitashukuru sana kwa msaada wako.
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 2,616 Reaction score 1,282 Feb 7, 2025 #2 .