Natafuta kazi: Finance, accountant, commerce, marketing au sales

chuma gama

Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
5
Reaction score
1
Natafuta kazi.

Nina miaka 27 natafuta kazi katika industry ya biashara na fedha. Nina degree ya commerce in finance, 0764355802. I'm productive.
 
mkuu mimi pia nina degree ya commerce in finance na sina kazi kama sio shida naomba tujuane na tupeane michongo itakayopatikana.
 
Sio mbaya kujuana kk. Mimi nimemaliza 2020 udom. Natafuta lazi. Ila naona bora kujiajiri tu kk. Maan hii coz yetu tuliosomea watu wengi hawajui nafasi yake mpaka humueleze sana na bado haoni kama kuna nafasi unaweza kufiti.
 
mkuu njoo pm kuna michongo tuongee
 
Nyie vijana mnasema mnatafuta kazi ya sales, mkipewa kazi mnataka mlipwe hapohapo Bila kufanya kazi yoyote, wakati mnaelewa kabisa kazi yoyote inayohusu sales ni commission based, yaani ufikishe target ndio ulipwe lkn matokeo yake mkifika sehemu mnadanganyana mnaona heri kurudi kitaa kupigwa na jua
 
Mkuu, kama kuna fursa yoyote ya sales ya commission based unaweza niunganisha nayo, nitashukuru sana. Pitia pia post yangu unisome vizuri. Please.
 
hivi nafasi za kaz za tax related jobs mtu aliye somea vommerce in finance hawezi fit ???
 
Back
Top Bottom