chuma gama
Member
- Aug 16, 2020
- 5
- 1
Sio mbaya kujuana kk. Mimi nimemaliza 2020 udom. Natafuta lazi. Ila naona bora kujiajiri tu kk. Maan hii coz yetu tuliosomea watu wengi hawajui nafasi yake mpaka humueleze sana na bado haoni kama kuna nafasi unaweza kufiti.mkuu mimi pia nina degree ya commerce in finance na sina kazi kama sio shida naomba tujuane na tupeane michongo itakayopatikana.
mkuu njoo pm kuna michongo tuongeeSio mbaya kujuana kk. Mimi nimemaliza 2020 udom. Natafuta lazi. Ila naona bora kujiajiri tu kk. Maan hii coz yetu tuliosomea watu wengi hawajui nafasi yake mpaka humueleze sana na bado haoni kama kuna nafasi unaweza kufiti.
Mkuu, kama kuna fursa yoyote ya sales ya commission based unaweza niunganisha nayo, nitashukuru sana. Pitia pia post yangu unisome vizuri. Please.Nyie vijana mnasema mnatafuta kazi ya sales, mkipewa kazi mnataka mlipwe hapohapo Bila kufanya kazi yoyote, wakati mnaelewa kabisa kazi yoyote inayohusu sales ni commission based, yaani ufikishe target ndio ulipwe lkn matokeo yake mkifika sehemu mnadanganyana mnaona heri kurudi kitaa kupigwa na jua
Mwakani nicheki kwa kunipm namba yako nikupe fursa upambaneMkuu, kama kuna fursa yoyote ya sales ya commission based unaweza niunganisha nayo, nitashukuru sana. Pitia pia post yangu unisome vizuri. Please.
sawa mkuu nitafanya hivyoMwakani nicheki kwa kunipm namba yako nikupe fursa upambane
Anafit vizuri sanahivi nafasi za kaz za tax related jobs mtu aliye somea vommerce in finance hawezi fit ???