Natafuta kazi hata kibarua

Gabriel123

Member
Joined
Sep 22, 2021
Posts
10
Reaction score
5
Habari Madam/sir
Natafuta kazi hata kibarua cha kuendesha maisha yangu.
#Ninaweza kufanya kazi yeyote tofauti na taaluma nilizonazo
a) ninaumri wa miaka 24
b)Naishi gongo la mboto DSM
c) taaluma yangu stashahada accounting&finance nina uzoefu wa customer care , sales 3yeaes
d) nina taaluma ya udereva uzoefu miaka 4
e)sijaoa nakaa home.
f) Ninauwezo wa kufanya kazi flltime
Mda wowote naweza fika kazini kwa dhalura
Kwa ambae ataguswa. Nitafute kwa simu no . 0625643065/ 0767983119
 
Dogo ungejaribu kwenda hapo Namera kiwanda cha pamba ukaombe kazi
 
Ingia rough road ya kuelekea pugu mnadani approximately 700m kutoka stand
 

Mtaalamu wa maswala ya fwedha

Anza kwa kutafuta pesa ya nauli, andaa cv yako, amka asubuhi nenda kwenye organisations unazozifahamu kuomba kazi kwa kujitolea....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…