Natafuta kazi ila mimi bado ni mwanachuo ili niweze kulipa ada

Natafuta kazi ila mimi bado ni mwanachuo ili niweze kulipa ada

Joined
Oct 29, 2024
Posts
49
Reaction score
94
Habari nilikuwa natafuta kazi yeyote ambayo itanifanya kujikiumu mahitaji yangu pamoja niweze kulipa ada chuoni masomo nikipata kazi masomo ninaweza kushift evening classes ninapitia hali mbaya kiuchumi mwenye kazi yeyote anisaidie pia mm nina diploma ya procurement and logistics pia mm ni mwanaume.

Mwenye nafasi ya kazi naombeni mnisaidie tafadhali.
 
Habari nilikuwa natafuta kazi yeyote ambayo itanifanya kujikiumu mahitaji yangu pamoja niweze kulipa ada chuoni masomo nikipata kazi masomo ninaweza kushift evening classes ninapitia hali mbaya kiuchumi mwenye kazi yeyote anisaidie pia mm nina diploma ya procurement and logistics pia mm ni mwanaume. Mwenye nafasi ya kazi naombeni mnisaidie tafadhali.
Priority ya kwanza katika kuomba kazi ni kueleza skills zako na experience na kazi unazoweza kuzifanya
Usikimbilie kuelezea shida zako kwanza.. anza na ujuzi

All the best
Mungu akanyoshe mkono wake.
 
Niko Dar es salaam nasoma uhasibu
Kwa sasa hivi sichagui kazi ila kazi za sales and marketing , customer care, storekeeper, nina ujuzi nazo na singing kama ulinzi, kufanya usafi, kuosha magari n.k pia naweza kufanya mkuu. Mawasiliano yangu 0753650782.
Sasa mdogo wangu hii meseji ipaste pale juu kwenye uzi wako .
 
Habari nilikuwa natafuta kazi yeyote ambayo itanifanya kujikiumu mahitaji yangu pamoja niweze kulipa ada chuoni masomo nikipata kazi masomo ninaweza kushift evening classes ninapitia hali mbaya kiuchumi mwenye kazi yeyote anisaidie pia mm nina diploma ya procurement and logistics pia mm ni mwanaume.

Mwenye nafasi ya kazi naombeni mnisaidie tafadhali.
Uandishi wako ni changamoto!
Ushauri;
1. Jenga ukaribu sana na lecturers wanaofanya Consulting. Hawa watakupa assignment za data collection. Jifundishe namna ya kuload questionnaire kwenye CSPro na ODK na analysis zile basic. Usmart wako kichwani na kimwonekano utakubeba.

2. Hii mifumo mipya including Tausi, NeST, wbn(Machinga) ina vifursa flani flani ndani yake. Users and final beneficiaries wapo mbaaali sana kuja kuielewa. Usomi wako unawasaidiaje hawa wasio na access na uelewa wa mifumo hii! (Kumbuka, ukitatua changamoto ndivyo unavyojipatia kipato)..
Mapambano mema.
 
Uandishi wako si mzuri.
Ushauri;
1. Kuwa karibu sana/jenga ukaribu na lecturers wanaofanya kazi za Consulting. Hawa watakupa assignments za data collection. Usmart wako kichwani na kimwonekano pamoja na utii vitakubeba.
2. Hii mifumo mipya mfano TAUSI,

Uandishi wako ni changamoto!
Ushauri;
1. Jenga ukaribu sana na lecturers wanaofanya Consulting. Hawa watakupa assignment za data collection. Usmart wako kichwani na kimwonekano utakubeba.

2. Hii mifumo mipya including Tausi, NeST, wbn(Machinga) ina vifursa flani flani ndani yake. Users and final beneficiaries wapo mbaaali sana kuja kuielewa. Usomi wako unawasaidiaje hawa wasio na access na uelewa wa mifumo hii! (Kumbuka, ukitatua changamoto ndivyo unavyojipatia kipato)..
Mapambano mema.
Ok sawa shukrani sana nitafanya kama ulivonielekeza pia nitafanyia kazi uandishi wangu.
 
Blood mi na wewe tupo pamoja japo mwenzako niliacha chuo kabisa..
Now ni billionaire na nina kazi yangu..
Nina usafiri pia nina mtoto mmoja..

Maisha ni safari ndefu yanahitaji sacrifice je upo tayari kwa jina la YAVUZ NA YAKUZ
 
Back
Top Bottom