Do the impossible
Member
- Oct 29, 2024
- 49
- 94
Priority ya kwanza katika kuomba kazi ni kueleza skills zako na experience na kazi unazoweza kuzifanyaHabari nilikuwa natafuta kazi yeyote ambayo itanifanya kujikiumu mahitaji yangu pamoja niweze kulipa ada chuoni masomo nikipata kazi masomo ninaweza kushift evening classes ninapitia hali mbaya kiuchumi mwenye kazi yeyote anisaidie pia mm nina diploma ya procurement and logistics pia mm ni mwanaume. Mwenye nafasi ya kazi naombeni mnisaidie tafadhali.
Unafikiri kila mtu ana boom?Tumia bumu kulipa ada, kisha tafuta kazi kwa ajili ya kupata pesa kidogo ya kula , mfano, kusajili laini za chuo na kuuza bando
Amina mkuu, nimekuelewa sana asantePriority ya kwanza katika kuomba kazi ni kueleza skills zako na experience na kazi unazoweza kuzifanya
Usikimbilie kuelezea shida zako kwanza.. anza na ujuzi
All the best
Mungu akanyoshe mkono wake.
Rekebisha sasa uzi wako kwa kuweka wasifu wako kwanzaAmina mkuu, nimekuelewa sana asante
Manyumbu hujambo mdogo wangu?Weka specifications zako vzr upo mkoa upi chuo kipi.. unaweza kazi zipi na mawasiliano....
😃umeshinda kombe unatamba sana sistaManyumbu hujambo mdogo wanyu?
Mpe dogo format ya cv kama hutajali.
Sasa mdogo wangu hii meseji ipaste pale juu kwenye uzi wako .Niko Dar es salaam nasoma uhasibu
Kwa sasa hivi sichagui kazi ila kazi za sales and marketing , customer care, storekeeper, nina ujuzi nazo na singing kama ulinzi, kufanya usafi, kuosha magari n.k pia naweza kufanya mkuu. Mawasiliano yangu 0753650782.
Labda mshinde njaa😂💔😃umeshinda kombe unatamba sana sista
Sema aina noma na sisi tutashinda tu tuwapite tena
Nitatuma kesho asubuhi now nipo exhausted hiyo format
Uandishi wako ni changamoto!Habari nilikuwa natafuta kazi yeyote ambayo itanifanya kujikiumu mahitaji yangu pamoja niweze kulipa ada chuoni masomo nikipata kazi masomo ninaweza kushift evening classes ninapitia hali mbaya kiuchumi mwenye kazi yeyote anisaidie pia mm nina diploma ya procurement and logistics pia mm ni mwanaume.
Mwenye nafasi ya kazi naombeni mnisaidie tafadhali.
Ok sawa shukrani sana nitafanya kama ulivonielekeza pia nitafanyia kazi uandishi wangu.Uandishi wako si mzuri.
Ushauri;
1. Kuwa karibu sana/jenga ukaribu na lecturers wanaofanya kazi za Consulting. Hawa watakupa assignments za data collection. Usmart wako kichwani na kimwonekano pamoja na utii vitakubeba.
2. Hii mifumo mipya mfano TAUSI,
Uandishi wako ni changamoto!
Ushauri;
1. Jenga ukaribu sana na lecturers wanaofanya Consulting. Hawa watakupa assignment za data collection. Usmart wako kichwani na kimwonekano utakubeba.
2. Hii mifumo mipya including Tausi, NeST, wbn(Machinga) ina vifursa flani flani ndani yake. Users and final beneficiaries wapo mbaaali sana kuja kuielewa. Usomi wako unawasaidiaje hawa wasio na access na uelewa wa mifumo hii! (Kumbuka, ukitatua changamoto ndivyo unavyojipatia kipato)..
Mapambano mema.
Niko tayariBlood mi na wewe tupo pamoja japo mwenzako niliacha chuo kabisa..
Now ni billionaire na nina kazi yangu..
Nina usafiri pia nina mtoto mmoja..
Maisha ni safari ndefu yanahitaji sacrifice je upo tayari kwa jina la YAVUZ NA YAKUZ