sawa nipo tayari kwa mawazo mapya
Kwa elimu hiyo check kampuni zote za simu,voda,tigo ,airtel,zantel,na zingine.Pia check kampuni hizi Maktech,Linksoft,ila kama pesa ipo soma Cisco(CCNA) itakuongezea ubora sokoni.Usisahau kutembelea zoom,na kujisajili www.brightermonday.com.Pia wasiliana na jamaa zako wa chuo wakupe michongo usikae peke yako utakufa,mambo tight.
.Habri wana JF.
Ndugu zangu nina diploma ya Eletronics & Telecommunication Engineering. Nina uzoefu katika installation,maintenance and commissioning of RF and Microwave link katika minara ya simu,pia uzoefu katika installation of security system ie cctv, intercom (PBAX).nk
Waheshimiwa nomba msaada wenu